Pumzika.
Biashara inajiendesha.
Kote ni mfumo wa kisasa wa kuendesha biashara yako: stoo, mauzo, tarehe za kuisha na hesabu, yote mkononi mwako.
Au jaribu demo bila kujisajiliInatumiwa na biashara
zaidi ya 300 nchini Tanzania.
Kutoka Dar es Salaam, Mwanza na Arusha hadi Mtwara, Kote inawasaidia wafanyabiashara kuendesha biashara zao kwa ufanisi. Weka kipanya juu ya mkoa wowote uone.
- Juu
- Wastani
- Chini
- Bado
Rangi nzito zaidi inaonyesha biashara nyingi zaidi katika mkoa husika.
Kila kitu unachohitaji,
mahali pamoja.
Kote inakupa zana zote za kuendesha biashara yako kwa ufanisi, kutoka stoo hadi malipo.
Bidhaa
Simamia stoo, batchi na tarehe za kuisha. Tahadhari ya stoo ya chini moja kwa moja.
Uza
POS ya haraka ya kuuza kwa skani au kwa mkono, chapisha risiti, fanya marejesho.
Madeni
Fuatilia madeni ya wateja, tuma vikumbusho vya SMS, na pokea malipo mtandaoni.
Sokoni
Agiza bidhaa kutoka kwa wasambazaji. Linganisha bei, fuatilia oda na pokea mzigo.
Malipo
Pokea malipo ya M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na kadi, yote kupitia Selcom.
Muhtasari wa AI
Ripoti ya kila siku iliyoandaliwa na AI: mauzo, faida, bidhaa zinazoisha na zaidi.
Ripoti
Ripoti za mauzo, faida, madeni na stoo. Shusha kama PDF au XLSX wakati wowote.
Hatua tatu, dakika tatu.
Sajili
Fungua akaunti kwa dakika moja kwa nambari yako ya simu. Hakuna kadi ya benki inayohitajika.
Ongeza bidhaa
Ingiza stoo yako kwa skana, kwa CSV, au kuchagua kutoka katalogi yetu ya bidhaa.
Anza kuuza
Tumia POS, fuatilia madeni, pokea malipo, na ona ripoti popote ulipo.
Kila mtu na nafasi yake.
Toa ruhusa sahihi kwa kila mfanyakazi. Fuatilia kila kinachofanyika kwa usalama kamili.
Mmiliki
Mtu mkuu wa biashara
Msimamizi
Anasimamia shughuli za kila siku
Mhudumu
Anauza na kushauri wateja
Muuzaji
Anarekodi mauzo yake tu
Biashara yako mfukoni.
Kote Business inapatikana kwenye iPhone na Android. Fanya kazi hata bila intaneti, data inasawazishwa ukirudi mtandaoni.

Bei nyepesi, faida kubwa.
Chagua kifurushi unachofaa. Badilisha kipindi cha malipo cha kila kifurushi: 1 / 3 / 6 / 12 mwezi.
Kwa biashara ndogo
- Biashara 1, watumiaji 2
- Bidhaa 500, batches & arifa za muda wa matumizi
- Mauzo & wateja
- Ripoti za msingi (PDF/XLSX)
- POS na rasiti
Kwa biashara zinazokua
- Vyote vya Hobby
- Watumiaji 3
- Bidhaa bila kikomo
- Sokoni — Tengeneza Orda ya Manunuzi (PDF kwa wasambazaji)
- Madeni & malipo ya mkopo
- Arifa za WhatsApp + SMS
Kwa biashara za juu
- Vyote vya Premium
- Matawi 3, watumiaji 7
- AI Digest ya kila siku
- Wasambazaji & stock receipts
- Ripoti za matumizi & faida
- Push notifications kwenye simu
Kwa minyororo ya biashara
- Vyote vya Professional
- Matawi & watumiaji bila kikomo
- AI demand forecasting
- Wholesale + retail pricing
- Ripoti maalum & data export
- Msaada wa VIP (dedicated WhatsApp line)
Maswali ya kawaida.
Ndiyo. App inafanya kazi bila intaneti, na data yako inasawazishwa mara tu unaporudi mtandaoni. Hutapoteza mauzo hata ukiwa eneo lisilo na mtandao.
Ndiyo. Data yako imehifadhiwa kwenye seva salama, imefichwa njiani na wakati imehifadhiwa. Wewe pekee na wale unaowapa ruhusa ndio wanaoweza kuiona.
Nenda Zaidi, kisha Wauzaji wa dukani, kisha Ongeza mfanyakazi. Utampa nambari ya simu na kuchagua ruhusa anazohitaji.
Ndiyo. Kifurushi cha Professional kinaruhusu matawi 3, na Enterprise inaruhusu matawi bila kikomo. Unabadilisha tawi ndani ya app bila kutoka.
Nenda Zaidi, kisha Lipia kuendelea Kutumia, kisha chagua kifurushi kipya. Mabadiliko yanaanza mara moja.
Kwenye ukurasa wa kuingia bofya Umesahau PIN. Tutakutumia msimbo kwa SMS ili uweke PIN mpya.
Pakua sasa.
Kote Business inapatikana kwenye iPhone na Android. Pakua bure leo, anza ndani ya dakika moja.
iPhone, Android, na kompyuta: kiungo kimoja, kinachojua kifaa chako
Au tembelea console.kote.business kutoka kompyuta yako, au jaribu demo bila kujisajili.

